Welcome

    Featured Posts

    BURUDANIKA BLOG - KWA MICHEZO NA BURUDANI ZOTE

    .

Loading...

TAZAMA PICHA MAANDALIZI YA PAMBANO KATI YA MAYWEATHER V/S PACQUIAO

https://igcdn-photos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xap1/t51.2885-15/11184694_836580773045382_273923438_n.jpg

  "Tarehe 2 Mei 2015 Milango ya MGM Grand itafunguliwa kuanzia saa nane mchana, ratiba ya matukio mbalimbali yataanza saa tisa kamili mchana. Pambano litaanza saa mbili kamili usiku (Masaa ya USA) ambapo huku kwetu itakuwa saa kumi kamili Usiku ,yani tarehe 3 Mei 2015 Jumapili.

 
Kwa hiyo huku kwetu tutaangalia pambano hili usiku wa kuamkia jumapili (Kuanzia Saa kumi kamili usiku).
Ninasubiri mwaliko hapa wadau ili tuangalie mtu fulani akiishangaza dunia.

© Copyright BURUDANIKA BLOG
Back To Top