Loading...
Home
»
Burudani
»
DIAMOND KUZINDUA TV STATION YAKE MEI 1 MLIMANI CITY
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.
All the best kama sio kick.