Welcome

    Featured Posts

    BURUDANIKA BLOG - KWA MICHEZO NA BURUDANI ZOTE

    .

Loading...

STORY: JE, NANI NI MSALITI KATI YA HAWA?

Jamaa na mke wake waliamua kufa kwa pamoja ili tu wasitengane kwa sababu wanapendana sana.

Wakapanda juu ghorofani, tena ghorofa ya 20, halafu wakahesabu 1,2, 3 jamaa akajiachia na kuruka kutoka ghorofani, mke wake akarudi nyuma na kumcheka akisema "siwezi kufa kwa ajili ya mapenzi kafe wewe mwenyewe".

Jamaa kuona mke hajiachii kutoka ghorofani, akafungua parachute alilokuwa amelificha, akasema, "Ulifikiri mimi mjinga e? nife kwa ajili yako! Ungethubutu kuruka ungekufa peke yako".

Shusha maoni yako hapo chini au twende moja kwa moja fb ukajiachie, kama huja LIKE page yetu LIKE sasa ili kukoment hii story. <<BONYEZA HAPA KUKOMENT>> Ni balaa mapenzi mazee!
© Copyright BURUDANIKA BLOG
Back To Top