Welcome

    Featured Posts

    BURUDANIKA BLOG - KWA MICHEZO NA BURUDANI ZOTE

    .

Loading...

TAZAMA PICHA 12 ZA FLOYD MAYWEATHE AKIJIFUA KWA NGUVU KUJINDAA NA PAMBANO LAKE


Bondia Floyd Mayweather amesema atapigana mara moja zaidi baada ya kupambana na Manny Pacquiao mwezi ujao, kwa sababu amesema hajisikii kuufurahia tena mchezo wa ndondi.
Mpambano wa Mayweather dhidi ya Pacquiao wa Mei 2 ni wa tano kati ya mapambano sita kwenye mkataba alioingia na shirika la utangazaji la Showtime


Mayweather, 38, amesema ile "furaha" haipo tena kwenye ndondi, na sasa anatazama fani hiyo kama "kazi" tu.
Amesema: "Sifurahii sana kama ilivyokuwa zamani. Pigano langu la mwisho ni Septemba."









© Copyright BURUDANIKA BLOG
Back To Top