Welcome

    Featured Posts

    BURUDANIKA BLOG - KWA MICHEZO NA BURUDANI ZOTE

    .

Loading...

WEMA SEPETU AOLEWA?

wema
Picha kadhaa zimezagaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu akiwa amevaa shela la harusi huku mashabiki wake wakimpongeza kwa kufunga ndoa.
wema2
Kupitia account yake ya Instagram Wema alitupia picha akiwa amevaa shela na kuandika…Never knew what Hapiness had to offer….. Until now… Im GrateFul & Thankful….
wema1
Hivi karibuni aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinumz alipost picha akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa wamevaa mavazi ya harusi huku mashabiki wao wakijiuliza wamefunga ndoa lakini ikaja kujulikana kuwa ni picha za Zari White Party.
Baadhi ya mashabiki walimpongeza na kutoa maoni yao kama hivi:
Talented_neyro My  hongeraaaa!!!! @wemasepetu
Beibzg @Elvidaday na wew pia mungu atakupa mume bora
Zenahkagzhussein Naakujalie mwenyezi mungu uifunge ndoa yenye kheri mkubwa wangu I love you mwaaaaaaaaaaa
Elvidaday Nimekua nikifungua profile yako kila asubuhi ila sikuwahi kucoment ata siku moja, nachokuomba ni utulize akili kwa sasa, mbona wengi wanapitia maisha aya, wewe ni mrembo natumai mungu atakupa mume bora, siku tu haijafika aya ni mapito
Ashawaismael Waoooh kamalikia kangu
Gakoumoza yani iyi harusi ya @wemasepetu lazma nije Tz, am your num 1 fan from Rwanda
Talented_neyro My  hongeraaaa!!!! @wemasepetu
© Copyright BURUDANIKA BLOG
Back To Top