List ya wanawake wenye mvuto zaidi kwenye tasnia ya bongo movie iliyotolewa na mtandao wa bongo movie ndio hii. Namba moja imechukuliwa na mwigizaje asiyeweka mambo yake wazi Welu Sengo.
- Anaitwa Welu Sengo
2. Yobnesh Yusuph Aka Batuli
3. Tatu imechukuliwa na Wema Sepetu
4.Elizabeth Michael aka Lulu
5. Irene Uwoya
Unamtazamo gani juu ya hii list ?




