Akiwa amecheza mechi 54 na kufanikiwa kufunga mabao 61 msimu uliomalizika, mchezaji bora wa duniani Cristiano Ronaldo ameamua kutumia muda wake kujiachia katika
ufukwe wa St Tropez.
ufukwe wa St Tropez.
Katika pichaz Mshambulizji huyo wa Real Madrid ameonekana na marafiki zake akila bata katika boti ya kifahari huko Ufaransa.