Welcome

    Featured Posts

    BURUDANIKA BLOG - KWA MICHEZO NA BURUDANI ZOTE

    .

Loading...

PICHAZ NYINGINE: FC BARCELONA WAKISHANGILIA UBINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE!

Wachezaji wa Barcelona wakisherehekea ushindi wao wa 3-1 dhidi ya Juventus.
KLABU ya Barcelona imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Juventus mabao 3-1 katika fainali iliyopigwa nchini Ujerumani usiku wa kuamkia leo.
Mabao ya mabingwa hao yaliwekwa kimiani na Ivan Rakitic, Luis Suarez na Neymar.
© Copyright BURUDANIKA BLOG
Back To Top