Welcome

    Featured Posts

    BURUDANIKA BLOG - KWA MICHEZO NA BURUDANI ZOTE

    .

Loading...

TAZAMA PICHA 10 ZA MAISHA YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA,CHRISTIAN RONALDO!!,NA BAADHI YA MALI ZAKE


Cristiano Ronaldo akiwa Dubai Cristiano Ronaldo baada ya kazi yake ya uwanjani na kazi nyingine, huwa anapenda sana kujiachia na mwanae au na familia kwa ujumla. Picha nyingi anaonekana yupo na mwanae au yupo na mpenzi wake (wa zamani). Kama mastaa wengine ambao hupenda kuweka
uhusiano na mastaa wenzao, Cristiano ana urafiki na Floyd Mayweather na pia huwa ana hudhuria matamasha ya muziki ya wasanii wakubwa kama Rihanna.
Enjoy kuangalia picha za maisha ya CR7 kwa upande mwingine zaidi ya uwanjani.
 

© Copyright BURUDANIKA BLOG
Back To Top