Welcome

    Featured Posts

    BURUDANIKA BLOG - KWA MICHEZO NA BURUDANI ZOTE

    .

Loading...

EPL: MCHEZAJI HUYU TOKA AFRIKA AWEKA REKODI MPYA YA HATARI UINGEREZA!

SADIO MANE APIGA HAT-TRICK KWA DAKIKA TATU, AWEKA REKODI!
 
 Mshambuliaji wa Southampton na raia wa Senegal, Sadio Mane (kushoto) akifunga bao lake la kwanza dakika ya 12 kipindi cha kwanza dhidi ya Aston Villa leo katika Uwanja wa St. Mary's Stadium.
...Mane akifunga bao lake la pili dakika ya 13 kipindi cha kwanza.
...Mane akifunga bao la tatu dakika ya 15 kipindi cha kwanza na kutimiza hat-trick ya aina yake Ligi Kuu ya England leo
Mane akishangilia.
Wachezaji wa Southampton wakishangilia baada ya kushinda bao 6-1 dhidi ya Aston Villa.
Mchezaji wa Southampton, Shane Long akishangilia moja ya bao lake. Long amefunga mabao mawili leo.
Mchezaji wa Southampton wakishangilia kwa pamoja baada ya mechi.
SOUTHAMPTON 4-2-3-1: Gazzaniga 6; Clyne 6.5, Fonte 7, Alderweireld 7, Bertrand 7.5; Wanyama 7, S Davis 7 (Yoshida 73’ 6); Long 8.5, Ward-Prowse 8 (Djuricic 80’), Mane 9; Pelle 8 (Elia 85’) 
Subs not used: K Davis, Gardos, Reed, Targett Booked: Wanyama Manager: Ronald Koeman 9 ASTON VILLA 4-1-2-1-2: Given 5.5; Bacuna 4 (Lowton 67’ 4), Okore 4, Vlaar 3, Hutton 4; Westwood 4; Cleverley 4.5, Delph 5; Grealish 5 (Sinclair 81’); Benteke 5, N’Zogbia 4 (Agbonlahor 57’ 5) Subs not used: Guzan, Weimann, Senderos, SanchezBooked: Westwood Manager: Tim Sherwood 5 Referee: Robert Madley 7 MoM: ManeAttendance: 31,636
© Copyright BURUDANIKA BLOG
Back To Top