
Baada ya nyimbo nne kufanya vizuri kwenye radio bila video, msanii Maua Sama ametoa video yake ya kwanza ‘This Love’ aliyofanya na Staa wa rnb Ben Pol.
Video ni kazi ya Hanscana na Audio ni mkono wa Ema The Boy.
Bonyeza play kuitazama, nipe mtazamo wako hapo chini ukiweza.