Welcome

    Featured Posts

    BURUDANIKA BLOG - KWA MICHEZO NA BURUDANI ZOTE

    .

Loading...

HUU HAPA UJIO MPYA WA ALIKIBA "THE KING"

Alikiba anatarajia kuwapa mashabiki wake zawadi waliyoisubiri kwa muda mrefu – video.
11379088_516569745163009_315077195_nAlikiba akiwa katika kazi
Muimbaji huyo ameshoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi.
Kupitia ukurasa wa Facebook, Alikiba amepost na utengenezaji wa video hiyo na kuandika:Music video shoot in South Africa at 3 degrees celsius… We keep rolling!
11350568_976872012336270_2707229765011132660_n  
Muongozaji Meji Alabi akiwa kazini
Hivi karibuni mashabiki wa Alikiba walilalamika kuchelewa kwenye video ya Chekecha na kudai kuwa anawaangusha.
11351812_1663090943927055_344829160_nAlikiba akiwa na Meji Alabi

11390285_976875359002602_5456705516142548614_n
© Copyright BURUDANIKA BLOG
Back To Top